SEDIRO-SELF DRIVING INSTRUCTOR IN A ROOM

Matumizi ya SEDIRO

Setting personal profile

Kila mwanafunzi anaweza kuwa na faili lake na anaweza kutengeneza utaratibu wa mafunzo kama atakavyo. Mfumo unafanya tathimini ya mafunzo na kutoa alama (maksi) za ufaulu ambapo alama (makisi) hizo zinatunzwa katika faili lake. Na mfumo huu unaweza kutunza kumbukumbu za maendeleo ya mwanafunzi, kupima maendeleo ya mwanafunzi pia kufuatilia hatua ya mwanafunzi kama anaendesha vibaya anapokuwa peke yake bila mkufunzi.

SEDIRO Inatumia program [3D human-machine interaction] iliyogawanyika katika sehemu kuu mbili..career na free driving

Carrer-imegawanyika katika sehemu tatu mwanafunzi wa udereva, mwanafunzi anayeanza kujifunza na mwanafunzi mzoefu kutakuwa na shughuli/mazoezi ambayo mwanafunzi anapaswa kuzikamilisha, kila zoezi linapima uzoefu Fulani katika kutunza muda na matumizi ya Petro nk. Mwanafunzi anapaswa kukamilisha zoezi moja kabla ya linguine

  • Mwanafunzi anaweza kumudu kuitumia SEDIRO na kuwa bora katika kufaulu mitihani yake ya udereva.

Free driving-hapa mwanafunzi anaweza kumudu kuboresha uwezo wake na kuendesha mashine ya SEDIRO Kwa kufanya mazoezi yake katika mazingira tofautitofauti kama makutano yasiyo na mwongozo [taa nk] barabara zisizo na msongamano, barabara ambazo magari yanakwenda kwa kasi, barabara za vumbi, barabara za polini zenye manyasi, mitaa ambayo barabara zake ni pana, barabara zenye alama na zile ambazo hazina alama, barabara nyembamba zenye mwinuko mkali na zile zenye mteremko mkali.

Aina tofauti za magari

Mwanafunzi aanaweza kuchagua aina tofauti ya gari atakayoendesha bus au mabasi madogomadogo ya abiria .Pia anaweza kuchagua rangi ya gari ,kila gari lina dashboard yenye setting  tofauti .mwendokasi ,uwezo wa breki,usukanina mngurumo wa engine/ingine 

  • MKUFUNZI-Anaweza kuchagua magari mengi kama muda wa foleni kali alfajili kuweka muda wa foleni ya kawaida hususani wakati wa mchana 
  • Mwanafunzi anaweza kuchagua free driving ili kuchagua aina tofauti za magari,muda Hali ya hewa ,foleni au msongamano wa magari ,Aina tofauti za msongamano nakadhalika ili kuzoea kumudu kuendesha katika  mazingira tofauti na hivyo kuboresha ujuzi wake katika kupambana na changamto mbalimbali

Faida za kutumia SEDIRO

  1. SEDIRO imebuniwa kwa ajili ya madereva wa awali kumfundisha dereva wa awali kwa kutumia gari ni garama kubwa ya petrol muda mwingi wa kuwandaa hali ambapo inamchosha mwalimu,gari kuharibika mara kwa bara .SEDIRO inawezesha mwanafunzi wa awali kuvifahamu vifaaa muhimu vya gari clutch pedal,breki pedal,Accelerator pedal,kuwasha gari ,kufanya revarse kwenda mbele nk.
  2. SEDIRO.Imebuniwa kupunguza muda wa kumwezesha  mwanafunzi kumudu kulijua gari ,inahitaji nafasi ndogo katika chumba ili kumfundisha mwanafunzi kumwezesha kumudu kulijua gari ,inahitaji nafasi ndogo katika  chumba ili kumfundisha mwanafunzi inapunguza mwendo wa mkufunzi kumwezesha  kila mwanafunzi kulijua gari .Pia inapunguza uhitaji wa gari
  3. SEDIRO Inapunguza mahitaji ya petrol na uharibifu wa gari .SEDIROinatumia umeme hivyo mwanafunzi mwanafunzi akijifunza na SEDIRO anakwenda kuendesha gari lake mwenyewe
  4. SEDIRO-Inatunza kumbukumbu za mafunzo ya wanafunzi hivyo inapunguza ajali kwa wanafunz i wa awali .hivyo kwa kutumia SEDIRO itawalinda wanafunzi wapya kuziepuka ajali 
  5. Inazotabia ambazo zinafanana kabisa na gari la kawaida ,unaendesha SEDIRO Utaona sawa tu na unavyoweza kuendesha gari la kawaida
  6. mazoezi au mafunzo yamepangwa kwa umahili kuanzia kwa mwanafunzi kwa awali mpaka kwa dereva mzoefu ili kuongeza uwezo wa mwanafunzi haraka sana . mafunzo yanaambatana sheria za usalama barabarani,alama nakadhalika.
  7. Mwanafunzi anaweza kufanya mazoezi muda wowote kadri unavyoweza
  8. SEDIRO Inaweza kufungwa mahala popote katika chumba 
  9. Mazoezi ya mwanafunzi  yanahifadhiwa ili kupata mwenendo mzima wa maendeleo yake na hayo kupima uelewa
  10. Mji unakuwa na  vivuko  njia ambazo watembea kwa miguu wanatumia kuvuka ambazo ni  rasmi na zile ambazo siyo rasmi
  11. Mungurumo wa injini ni kama vile wa gari na huongeza ubora wa mafunzo wakati  wa kuendesha.
  12. SEDIRO Inapata ajali kama magari  ya kawaida .ajali zinazobabishwa na SEDERO hazina rekodi wala madhara kama  zilivyo ajali za kawaida