MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA ADA ZAKE

Jiunge leo na kuanza leo mafunzo ya udereva bora [Join and start the training today not tomorrow]

Aina ya kozi zinazotolewa:-

Na.JINA LA KOZINAMBA

Mafunzo ya udereva ya mwezi mmoja tuDRV/01

Mafunzo ya udereva ya Wiki 2 tuDRV/02

Mafunzo ya udereva ya wiki 1 (Clash program)DRV/03

Mafunzo ya udereva katika darasa linalotembea (Mobile class style)DRV/04

Mafunzo ya udereva yanayohusisha magari ya aina ya (Manual & Automatic)DRV/05

Mafunzo ya udereva yanayohusisha Automatic gear peke yakeDRV/06

Mafunzo ya udereva mtu mmoja na mwalimu wake tu kwenye gariDRV/07

Mafunzo ya udereva siku za JUMAMOSI na JUMAPILI tuDRV/08

MAELEZO YA KILA KOZI NA ADA ZAKE

  1. Mafunzo ya udereva (GARI MANUAL) mwezi mmoja 

Hili ni darasa la kila siku ambalo mwanafunzi hulipoti kila siku kwenye vituo vyetu/ofisini kati ya [saa 12:30 asubuhi hadi 11 jioni] kwa siku za kazi Jumatatu-Ijumaa na Jumamosi ni Darasa la nadharia linaloanza [saa 3:00 asubuhi-7:00 mchana]. Muda wa kuendesha gari umekadiriwa kuwa nusu saa (dk. 30) tu na wala usiangalie saa wakati wa mafunzo ili tukufundishe vizuri na baada ya mwezi uwe dereva bora.

Ada ya kozi ya manual kwa mwezi mmoja

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1260,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu300,000/=
  1. Mafunzo ya udereva (GARI MANUAL) wiki 2/Two weeks Course (MANUAL CAR)

Hili Ni darasa linalomhusu mtu aliye na muda mchache tu wa kujifunza udereva na hawezi kupata mwezi mzima na hajui kabisa kuendesha gari. Mtu huyu atatakiwa kuhudhuria vipindi viwili kila siku ili kutimiza vipindi 20 vya mwezi mzima ndani ya wiki 2

Ada ya mafunzo ya gari manual tu kwa wiki 2 tu

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1220,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu260,000/=
  1. Mafunzo ya udereva wiki moja tu [MANUAL TU au MANUAL+AUTOMATIC au AUTOMATIC TU]

Hili ni darasa linalochukua muda wa siku 7 tu kwa mwanafunzi kuwa dereva bora. Katika darasa hili mwanafunzi anatakiwa kuwa na muda usiopungua saa 1 (Lisaa limoja) kwa siku na akili yake iwe imetulia kabisa. Atafanya mazoezi mengi kwa siku na atafanya safari ndefu na baada ya siku 7 atakuwa amefuzu kabisa. 

Ada ya mafunzo ya wiki moja tu

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1250,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu290,000/=
  1. Mafunzo ya udereva kwa mfumo wa darasa linalotembea/Mobile class [MANUAL, MANUAL+AUTOMATIC, AUTOMATIC TU], [MWEZI-1, WIKI-1, WIKI-2]

Hili ni darasa linalomfuata mwanafunzi nyumbani/kazini kwake na kumrudisha baada ya mafunzo. Darasa hili linaweza kuwa la mwezi-1, wiki 2 au wiki 1 tu kulingana na nafasi ya mteja.

Ada ya mafunzo ya darasa linalomfuata mwanafunzi mahali alipo

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1330,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu370,000/=

NB: Mafunzo haya ni maalumu kwa wanafunzi/wateja wanaoishi au kufanya kazi maeneo ambayo ni jirani na ofisi zetu ili kupata wepesi wa kufuatwa na mwalimu wetu kirahisi.

  1. Mafunzo ya udereva kwa darasa linalohusisha [MANUAL & AUTOMATIC]

Darasa hili litahusisha gari la Manual na Automatic katika kozi moja ambapo mteja ataanza na manual gear na kumalizia na automatic gear kutegemeana na muda wa kozi aliyochukua, wiki 1 au wiki 2 au mwezi mmoja.

Ada ya mafunzo ya manual & automatic pamoja ni

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1260,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu300,000/=
  1. Mafunzo ya udereva yanayohusisha gari la AUTOMATIC TU

Darasa hili litahusisha gari la automatic gear pekee ambapo mwanafunzi atajifunza kutumia gari hilo kwa kozi ya wiki 2 tu na kuwa dereva bora zaidi.

Ada ya mafunzo ya gari automatic tu

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1240,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu280,000/=
  1. Mafunzo ya udereva yanayohusu mwanafunzi na mwalimu wake tu kwenye gari

Darasa hili linahusu mwanafunzi na mwalimu wake tu bila kuwepo wanafunzi wengine kwenye gari.

Ada ya kozi ya mwanafunzi na mwalimu wake tu

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1285,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu325,000/=
  1. Mafunzo ya udereva yanayohusisha siku za JUMAMOSI na JUMAPILI tu

Darasa hili linahusu siku za JUMAMOSI na JUMAPILI peke na kozi itakuwa ya mwezi mmoja tu na mwanafunzi anaweza kujifunza magari aina ya [MANUAL, MANUAL & AUTOMATIC au AUTOMATIC tu]

Ada ya mafunzo ya Jumamosi na Jumapili tu

NaJinaKiasi

Ada ya mafunzo kwa mwezi-1285,000/=

Leseni ya lena15,000/=

Vitabu (alama na Misingi)10,000/=

Fomu ya usajili5,000/=

Cheti cha kuhitimu10,000/=
Jumla kuu325,000/=